VIDEO:Uchunguzi Wa Umiliki Wa Kampuni Ya Airtel Wakamilika.. Uchafu Wawekwa Wazi - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

KITAIFA

VIDEO:Uchunguzi Wa Umiliki Wa Kampuni Ya Airtel Wakamilika.. Uchafu Wawekwa Wazi

on

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango leo, amewasilisha taarifa kamili ya Kamati aliyoiunda ili kuchunguza umiliki halali wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Ambapo mpaka sasa Kamati hiyo imebaini uozo uliokuwa unafanywa na kampuni hiyo,

VIDEO:BONYEZA PLAY BATANI KUTZAMA UFAFANUZI WA DKT. PHILIP MPANGO

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login