Vera Sidika Aweka Wazi Mahusiano Yake - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

BURUDANI

Vera Sidika Aweka Wazi Mahusiano Yake

on

Ni kweli Vera Sidika yupo single? Nadhani utakuwa umeshangaa na hutaki kuamini hilo kutokana na mrembo huyo wa Kenya anavyowatoa udenda vidume wengi kutokana na umbo lake alilobarikiwa na kubwa zaidi fedha ambazo anatumia kwenye kula bata katika viwanja mbali mbali vya starehe duniani, inakuwa ni vigumu sana kukosa wapembeni yake .

Lakini huo ndio ukweli wenyewe ambapo Vera mwenyewe amethibitisha hilo kupitia ujumbe wake ambao ameuandika kwenye mtandao wa Instagram.

ā€œIā€™m as Single as a dollar bill and Iā€™m not looking for change šŸ’šŸ¼,ā€ ameandika mrembo huyo kwenye mtandao huo.

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login