Tiwa Savage Aweka Wazi Juu Ya Ujio Wa Collabo Mpya Akiwa Na Kundi La Sauti Soul - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

BURUDANI

Tiwa Savage Aweka Wazi Juu Ya Ujio Wa Collabo Mpya Akiwa Na Kundi La Sauti Soul

on

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Tiwa Savage amethibitisha ujio wa kolabo yake na kundi la muziki kutoka nchini Kenya, Sauti Soul.

Muimbaji huyo ambaye kwa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Sugarcane’, kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe mfupi ambao umeweka wazi kuhusu ujio wa kolabo hiyo.

Too early in the year or na 😜Massive African Collabo coming soon#GirlNextDoor @sautisol ft @tiwasavage 2018 gonna be SAVAGE trust mealiandika Tiwa Savage.

Utakumbuka December 28 Sauti Soul nao walifanya hivyo katika mtandao wao wa twitter kuweka wazi ujio wa kolabo hiyo; “If you can’t wait for the Tiwa collabo just tweet #AfrikanSauce” waliandika Sauti Soul.

Kolabo hiyo itakuwa ni ngoma nyingi kwa Sauti Soul kufanya na msanii wa Nigeria ambapo kwa sasa wanafanya vizuri na ngoma ‘Melanin’ ambayo wamemshirikisha Patoranking.

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login