Snura Aja Na Ujumbe Mzito Juu Ya Maisha Yake - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

BURUDANI

Snura Aja Na Ujumbe Mzito Juu Ya Maisha Yake

on

Kufuatia maisha halisi ya mwanadada na mwanamuziki wa Bongo Freva Snura Kuto kuwa wazi juu ya mahusiano yake, lipo jambo ambalo limeibuka katika mitandao ya kijamii likisema kwama Snura ameanza kudate na mwanaume aliye kuwa anatoka na Nisha Bebe.

Ujumbe wa snura uliibua taswira mpya na kusemekana pengine naye ndiye mwandani wake mpya Snura alipost ujumbe huu Mwenyezi Mungu akuondolee Shari na husda zote akufungulie kila lenye kheri nawe ,,,akupitishe kwenye njia iliyonyooka ,,,utimize ndoto zako,,kadri unavyoongeza siku na miaka ndivyo unavyo yakaribia mafanikio Yako,,,ila nakusihi usiyakumbuke ya dunia tu hii ni njia kumbuka kutengeneza nyumba nzuriiii yakuishi kwenye maisha yetu ya milele ,,kumbuka kufanya ibada……..nakupenda sana Sana❤💋ubarikiwe………..

Lakini katika page yake ya instagram mwanadada huyo ameonyesha wasiwasi katika moyo wake na kuukanya juu ya kile unacho kifanya kwa kupost ujumbe mzito wenye sura ya mapenzi ndani yake

Moyo niache nimechoka mbona kuishi mwenyewe inatosha😢😢😢 moyo uwapendao sio niache niache niache sitaki hujui kuchagua Kule kule nilikoishia kumetosha sitaki tena…..aliandika snura

Swali ni kwamba je snura anatarajia kuachia wimbo ndio maana ameamua atumie kisa hicho kama kiki ili kuwafanya watu waipokee ngoma yake kwa kishindo yaani kwa kutumia kiki au laa!

Tuachie Comment yako hapo chini kwa kutumia facebook nasi tutamfikishia mlengwa.

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login