Rapper Wiz Khalifa Aushangaza Ulimwengu Kwa Kumuimbia X wake wa Zamani Amber Rose - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

BURUDANI

Rapper Wiz Khalifa Aushangaza Ulimwengu Kwa Kumuimbia X wake wa Zamani Amber Rose

on

Swala linaloitwa mapenzi achana nalo kabisa na wawili wakipendana usijaribu kuwatenganisha, Unaambiwa Rapper Wiz Khalifa ameamua ku-Freestyle kuhusu baby mama wake Amber Rose na kuwaacha midomo wazi na maswali mengi wasikilizaji.

Wiz ambaye aliwahi kuwa na mahusiano na mrembo huyo ameamua kuweka wazi hisia zake huku akidai kuwa bado anampenda ila sio Amber ni mpezni wake mpya aitwaye Izabela Guedes.

“I don’t want no drama,” he rhymed. “Why you gotta bring up my baby mama? / Damn, I suppose / I’ma freestyle about Amber Rose / She’s bald head, she’s got my kid / We was married, yes, we did / I still love her, she love me too / You think I’ma talk about her, you’re through / I never will, that’s the mother of my kid / I’m right here, I’m doing it with Big / And I ain’t worried about these hoes / Because my baby mother is Amber Rose,”aliimba Wiz katika kupindi cha Big Boy Tv.

VIDEO:BONYEZA PLAY BATANI KUISIKILIZA FREESTYLE YA WIZ KHALIFA AKIIMBA

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login