KITAIFA

Makonda Afichua Siri Ya Ujio Wa Rais Kagame Nchini Tanzania (+VIDEO)

on

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa Demokrasia ya kweli aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni jambo ambalo linawavutia wageni kuja Tanzania akiwepo Rais wa Rwanda, Paul Kagame anayetarajiwa kuwasili nchini Jumapili hii.

VIDEO:BONYEZA PLAY BATANI KUITAZAMA VIDEO HII USISAHAU KUTUACHIA COMMENT YAKO HAPA

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login