Kamati Ya Uchunguzi Wa Umiliki Wa Kampuni Ya Airtel Yatinga Ikulu - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

KITAIFA

Kamati Ya Uchunguzi Wa Umiliki Wa Kampuni Ya Airtel Yatinga Ikulu

on

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango leo, amewasilisha taarifa ya Kamati aliyoiunda kuchunguza umiliki wa kampuni ya Airtel kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.

SOMA TAARIFA HAPA CHINI

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login