Israel Yafanya Shambulio Katika Kingo Za Gaza - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

KIMATAIFA

Israel Yafanya Shambulio Katika Kingo Za Gaza

on

Ndege za kivita za jeshi la Israel zimeshambulizi Kusini mwa Ukingo wa Gaza.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na  uongozi wa mamlaka ya wapalestina ni kwamba mashambulizi hayo yalioendeshwa na jeshi la Israel yalilenga mashamba ya wapalestina Kusimni mwa Ukanda wa Gaza katika eneo la Rafah.

Israel huo ikishambulia eneo kwa madai kuwa ardhi yake imeshambuliwa kwa makombora kutoka Ukanda wa Gaza.

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login