H&M Hakuna Tena Mkataba Baada Ya Ubaguzi - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

BURUDANI

H&M Hakuna Tena Mkataba Baada Ya Ubaguzi

on

Msanii wa muziki na mtayarishaji wa muziki, The Weeknd ameamua kukatisha mkataba wake na kampuni H&M iliyokuwa ikimsimamia masuala ya mavazi.

Picha za kijana huyo zilianza kuzagaa siku ya jana mitandaoni huku mastaa kama T.I, P.Diddy, Floyd Joy Mayweather na wengineo wakilani kitendo hicho.

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login