ALERT NEWS:Rais Magufuli Afanya Uteuzi Wa Mabalozi - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

KITAIFA

ALERT NEWS:Rais Magufuli Afanya Uteuzi Wa Mabalozi

on

Leo january 11 2018, Rais Magufuli ateua Mabalozi wawili, Alphayo Kidata na Meja Jenerali Mstaafu Simon Mwinyi. Kabla ya uteuzi Alphayo Kidata alikuwa Katibu Mkuu, Ikulu. Aliwahi pia kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA)


Wateule hawa wataapishwa na kupangiwa vituo vya kazi baada ya taratibu kukamilika

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login