2018 Huu ndio Mwaka Ambao Jokate Yupo Tayari Kuolewa:JOKATE MWEGELO - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

BURUDANI

2018 Huu ndio Mwaka Ambao Jokate Yupo Tayari Kuolewa:JOKATE MWEGELO

on

Huwenda penzi zito analopata ama kuhisi analihitaji vilivyo linamchanganya mrembo Jokate Mwegelo na kuamua kusema yupo tayari mwaka huu.

Mrembo na mwanamitindo huyo ambaye pia ni mjasiamalia amenyesha shahuku ya kuwa mwaka huu usimpita bila ya kupata mume na kuanzisha familia yake maana muda unazidi kwenda.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Jokate a.k.a Jojo ameandika maneno yanayoashiria kuhitaji wa kuwa ndani ya ndoa “Oh 2018 bring me my hubby already 😏. I’m ready. ❤️.” na kuongeza “Vigezo na Masharti Kuzingatiwa. ❤️”.

Jokate amekuwa akihisiwa kuwa katika mahusiano na msanii wa muziki Alikiba, hii ni kutokana na ukaribu walio wawili hao licha ya kuwa wakipinga mbele ya vyombo vya habari kuwa hawapo kwenye mahusiano.

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login