BURUDANI

Vanessa Mdee Aachia Cover Ya Albam Yake

on

Dalili ya mvua ni mawingu. Hatimaye Vanessa Mdee ameachia kava la albamu yake mpya aliyoipa jina la β€˜Money Mondays’ ambayo bado haijatoka.

Vee Money ameonyesha kava hilo kupitia mtandao wake wa Instagram na kuthibitisha hiyo ndio yenyewe kwa kuandika, β€œThis is the official album cover #MoneyMondaysTheAlbum πŸΎπŸ™ŒπŸ½πŸ™πŸΎπŸ’«πŸ’«β‰οΈβ—οΈπŸŽβ‰οΈβ‰οΈπŸ’œπŸ‘©β€πŸŽ€ πŸ“Έ.”

Vanessa alisema albamu yake hiyo mpya itakuwa na nyimbo 18. Albamu hiyo itatoka kabla ya mwaka huu kumalizika na miongoni mwa wasanii ambao watasikika kwenye albamu hiyo ni Cassper Nyovest wa Afrika Kusini.

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login