Jokate Na Wema Sepetu Walamba Dili La Ujumbe Wa Tanzania Heritage Month - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

KITAIFA

Jokate Na Wema Sepetu Walamba Dili La Ujumbe Wa Tanzania Heritage Month

on

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla amefanya uteuzi wa wajumbe nane kuunda kamati ya kitaifa ya kuandaa mwezi maalum wa maadhimisho ya urithi wa Tanzania (Tanzania Heritage Month).

“Tumeongeza idadi ya wajumbe wa Kamati ya Mwezi wa Urithi wa Tanzania (Tanzania Heritage Month) ili kupata uwakilishi wa Zanzibar na Vijana. Kamati hii itafanya kazi ya kuweka sawa wazo hili na kusaidia utekelezaji wake” amesema Dkt. Kigwangalla.

Taarifa kamili;

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login