BURUDANI

Pre -Order Ya Albam Ya Vannesa Mdee Iko Njiani

on

Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ametangaza kuachia pre-order ya album yake ya ‘Money Mondays’ ambapo amesema album hiyo itakuwa na idadi ya nyimbo 18.

Vanessa Mdee amesema kwenye album hiyo kutakuwepo pia na ngoma yake ambayo amefanya na rapa Cassper Nyovest na kolabo zake nyingine za kimataifa.

ADD YOUR COMMENTS

Recommended for you