Majina Ya Wanafunzi Waliopewa Mkopo Awamu Ya Tatu Na HESLB - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

ELIMU

Majina Ya Wanafunzi Waliopewa Mkopo Awamu Ya Tatu Na HESLB

on

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetoa orodha ya Awamu ya Tatu ya wanafunzi 7,901 wa Mwaka wa Kwanza waliofanikiwa kupata mikopo na hivyo kufanya jumla ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo hadi sasa kufikia 29,578.

Katika Awamu ya Kwanza, wanafunzi 10,196 wa mwaka wa kwanza walipangiwa mikopo na Awamu ya Pili wanafunzi 11,481.

Kiasi cha shilingi 427.54 bilioni zimetengwa kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi kwa mwaka 2017/2018 na tayari Serikali imeshatoa shilingi 147.06 bilioni kwa ajili ya robo ya kwanza ya mwaka huu wa 2017/2018.

Kwa orodha kamili ya waliopata Mkopo kwa awamu hii ya tatu bofya BONYEZA HAPA

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login