ELIMU

Jua maisha nini?

on

Leo napenda kuzunguzmzia maisha kiujumla naomba uungane name usiogope kutoa maoni tujulishane maana kamili ya maisha ya mfahayo binadamu.

Kabla ya yote yakupasa kujua maisha maana yake na nini lengo la maisha unayo ishi kiumbe hasa binadamu mwenye akili na utashi je unaishi kama mnyama ujui malengo . Kumbuka katika maisha kuna vitu ambavyo vipo kama mwaka,mwezi,wiki na siku je umeacha miaka iende au miezi iende pasipo kuitumia au umeitumia vibaya.

Yakupasa kujua kwamba kila iitwapo siku ina masaa 24 dakika 1440 na sekunde 86400 katika hayo masaa 24 ya siku je yote umeyaacha yapite ni angali una akili na unajua nini cha kufanya kwa ajili ya kutengeneza maisha yako yawe tofauti.

MAISHA NI NINI?

Maisha ni mda ambao kiumbe hai amejaliwa kuishi tofauti kabisa na uzima wa milele maisha ya kiumbe hai yana mwanzo na mwisho wake.  Lakini tunazunguzmzia kwa kiumbe mwenye utashi na akili ambae anaweza kupembua akili yake na kujua kusudio la yeye kuishi kiumbe huyo ni BINADAMU.

Binadamu ni kiumbe aliyepewa vitu viwili akili ambayo kila mnyama anayo ila akaongezewa utashi ili apate kupembua mambo na kuishi kwa kusudi katika maisha pasipo kuishi bila kusudi ni sawa na mnyama ambaye amekosa utashi ambae haelewi huu ni mwaka wala huu ni mwezi. Mwisho wa siku binadamu anajilaumu ila kumbuka wewe ni kiumbe uliyepewa zawadi nzuri na Mungu ya akili na utashi yakupasa kuitumia ipasavyo.

Katika maisha kuna vitu vitatu ambavyo binadamu akivijua kwa undani ataweza kurekebisha maisha yake yasiwe kama zamani na kufaulu mtihani wa maisha.

MAMBO YAKUYAJUA KUHUSU MAISHA.

  1. KUJITAMBUA(DETERMINATION) kujitambua ni kujijua na kujua maisha yako kuwa yana dhumuni Fulani katika maisha. Hapa nitatoa mfano mmoja ambao unaweza ukauchukua kikawa kama kioo cha kujitambua kwenye maisha yako kwa kumtumia BEN CARSON.

                    BEN CARSON

Huyu ni muamerika mweusi ambaye maisha yake yanaonesha dhana ya kujitambua ambaye alikuwa ajijui ya kuwa alikuwa na akili kuzidi wnzake lakini siku moja ndiyo ilibadili maisha yake kabisa.

Siku hiyo mama yao aliwaambia lazima waende library yeye alikuwa hapendezwi na habari za kusoma

Lakini siku hiyo alipewa kitabu ambacho kilifanya asome na kesho kuingia darasani akaulizwa swali ambalo alikuisha lipitia watu wote wakatamaki kumuona peke yake ben carson aliyenyoosha kidole wengine  wakawa hawajui na ndipo Yule aliye aminika hakuwa na akili kujibu swali tazama huo mfano baada ya  hapo hakuwahi kufeli mpaka leo kafaulu maisha ni daktari mkubwa katika hospitali kubwa

Hiyo yote ilitokana na kujitambua kwake.

Kwahiyo kama binadamu inapasa  kujijua  na kujitambua una dhumuni gani na maisha yako.

  1. MISHENI(MISSION) hapa ni kipengele ambacho binadamu huwa wanafanya sana lakini wanasahau malengo na ile ndoto lakini kumbuka unapokuwa katika kipengele cha misheni yakupasa sana kuitilia maanani ndoto yako nay ale malengo yako kuliko kufanya utengeneze kitu ambacho kinatoka kwenye mkono na kwenda mdomoni kisichofikisha ndoto yako hapa ni sehemu ya kuzingatia lakini ukianguka kwenye mihangaiko utofikia ile ndoto yako wala maono yako kabisa ni sawa na kuwa na maono ya mwisho wa macho.

 

  1. VISION(MAONO) hapa ni kipengele kigumu katita maisha na hapa ndipo wanapo shidwa wengi

Kuyafikia yale maono yao lakini kabla ya maono yakupasa kutotia shaka na maono yale yanayotoka akilini ni bayana kabisa na maono ya macho.

Maono ya akili yanaendana na moyo ambao hutengeneza imani.

Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo ni bana ya mambo yasiyoonekana.

 

 

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login