BannerFans.com

MUZIKI

DiamondPlatnumz Anakuarika Kusikiliza Nyimbo Yake Mpya Hapa-Sikomi Audio

on

Mwanamuziki wa Bongo Freva Nassib Abdul a.k.a Diamondplatnumz ameachia nyimbo mpya leo baada ya haleluya kufanya vizuri katika tasnia ya Burudani ya Muziki.

Diamond ametoa audio hiyo leo hii ambayo inatambulika kwa jina la sikomi, licha ya nyimbo hiyo kuachiwa hakuna msanii yeyote hadi kusikia lisaa aliyeipost hata yeye pia haja post chochote katika page zake kama ilivyo ada kwa nyimbo nyingine.

Nini maoni yako, Tuandie hapa chini mara baada ya kutazama na kuisikiliza audio hii hapa.

VIDEO:BONYEZA PLAY BATANI KUISIKILIZA NYIMBO HII.

ADD YOUR COMMENTS

30 Comments

  1. Pingback: cheap ralph lauren polo

  2. Pingback: korle聽millet聽in bangalore

  3. Pingback: cole haan cheap

  4. Pingback: Mountain Hardwear outlet online

  5. Pingback: online shoes merrell

You must be logged in to post a comment Login