Mwanamuziki chipukizi wa Bongo freva anayefamika kwa jina la Wizzz Stars anakualika kutizama video yake aliyoiachia inayofahamika kama cheche la zogo.
Ngoma hiyo imetengenezwa na producer Menseni Selkta.
VIDEO::BONYEZA PLAY BATANI KUITAZAMA VIDEO HII NA TUACHIE MAONI YAKO HAPA CHINI MARA BAADA YA KUITAZAMA VIDEO HII
You must be logged in to post a comment Login