BannerFans.com

MUZIKI

VIDEO::Hii Hapa Kolabo Mpya Harmonize FT Korede Bello-Shulala

on

Baada ya muda kido kupita mwanamuziki wa Bongofreva Harmonize wa WCB kukaa bila ngoma yoyote leo hii ameamua kutuletea video yake mpya aliyomshirikisha koredebello iotwayo Shulala.

Kwa Mashabiki wa Harmonize hii ilikua kiu kubwa sana baada ya kusikia kwamba Mwimbaji huyu wa Bongofleva amefanya kolabo na Mnigeria Korede, kiu imekatwa leo na video yenyewe ndio hii hapa tazama na tuachie maoni yako  hapa chini mara baada ya kuitazama video hii hapa.

VIDEO::BONYEZA PLAY BATANI KUITAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI YA HARMONIZE FT KOREDE BELLO

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login