MAZINGIRA

Tetemeko La Ardhi La Ukubwa Wa 8 Katika Kipimo Cha Richter Laikumba Mexico

on

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 8 katika kipimo cha Richter laikumba Mexico na kutolewa tahadhari ya wimbi kubwa la Tsunami katika pwani ya Equador, Guatemala, Nicaragua na Panama,Tetemeko hilo kubwa limetokea mapema İjumaa majira ya asubuhi.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kitengo kinachohusika na ardhi cha Marekani cha USGS, ni kuwa tetemeko hilo kitovu chake kilikuwa katika kina cha kimomita 33 na kilomita 122 Kusini-Magharibi mwa jiji lla Pijijapan.

Tetemeko hilo limesikika pia hadi mjini Mexico na kutia ghofu katika nyoyo za raia na kukimbilia mabarabarani.

ADD YOUR COMMENTS

1 Comment

  1. Enrique

    September 19, 2017 at 5:40 pm

    Hey there! This post could not be written any better! Reading this post reminds me of my good old room mate! He always kept chatting about this. I will forward this write-up to him. Fairly certain he will have a good read. Thanks for sharing!

You must be logged in to post a comment Login