HADITHI::My Jealous Destroyed Everything........ Sehemu ya1 - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

HADITHI

HADITHI::My Jealous Destroyed Everything…….. Sehemu ya1

on

Maisha yangu nlikua na furaha sana hasa nilipopata mwanaume niliyempenda nae akanipenda lakini ni wivu tu ulionifanya nikampoteza yeye na kuharibu ndoto ,je nitawezaje kurudisha mapenzi yake kwangu ……….ni Maneno aliyokuwa akitafakari msichana mmoja aliyeonekana pembeni ya uwanja Wa mpira akiwa pekeake…….kabla ya hapo tunamwona kijana mtanashati(Alvan) akitoka ofisini anaingia kwenye gari yake aina ya Nissan extrail Mara kabla hajaingia anatokea msichana aitwaye anatalia ambaye anaonekana kuwa mtu wake Wa karibu sana na nimfanyakazi mwenzie katika ofisi za halmashauri kitengo cha  maendeleo ya jamii.”hey kumbe upo sikujua km umefika kazini Leo”aliongea Alvan huku akifungua mlango Wa gari akitoka,.”anhaaa kumbe ndio sababu hujaja kuniona ofisini kwangu ?”alijibu anatalia..”am really sorry Anna Leo nilikua bize sana ata ivo siwezi kwendelea kuwepo hapa mama   Nina dharura…kimya kikatanda kwa muda,kama unaenda home ingia nikuache pale mbele au?”alvan alizidi kujisemesha…anatalia aliachia tabasamu “ukinipeleka nami gari Yangu ataendesha nani ebu nenda tuonane kesh.o” “OK siku njema ,take care” Alvan alijibu huku akiingia kwenye gari yake….basi Alvan aliondoa gari yake maeneo Yale na kurudi nyumbani kwake anakoishi yeye peke ake………

SIKU 2 BAADAYE………………….ilikua muda Wa saa2 usiku Alvan akitoka kwenye mizunguko yake anaelekea nyumbani akiwa njiani Mara anakoswa na ajali ya kugongana na gari hivyo anafunga breki haraka huku akiwa na hofu kubwa ,anatupa macho nje anaona gari aliyoikosa imepark pembeni hivyo akashuka kwenda kuona cha ajabu aliona msichana yuko ndani  ya gari amelaza kichwa kwenye uskani..Alvan alijaribu kuita hakukua na majibu yoyote aliamua kuvuta mlango akagundua msichana huyo hana fahamu….lilikua jambo zito kwake kwakua hakujua shida nini lakin kwa haraka akapata wazo la kumpeleka hospital hivyo alimpigia simu anatalia ili afike lile eneo achukue gari yake ye aende hospitali ikawa ivo,……..baada ya saa1 hospital msichana alionekana akifungua macho na alishangaa kujiona hospital”mbona Niko hapa we nani?” Aliuliza huku akijitazama drip ya maji mkononi kwake

“Acha kuongea ongea unaumwa wewe” Alvan alijibu …”naumwa nini sasa?”msichana alikua Mkali .kabla Alvan hajajibu doctor aliingia”ulipata mshtuko na ndio maana uko hapa ,utulie mpaka utakapokua vizur nitaku discharge ila kwa saizi bado tuna angalia blood presha yako”doctor aliongea huku akiweka vizuri dripu..”nitakaa apa adi saa ngapi na ndugu zangu hawana taarifa?” …..”tutawajulisha nipatie simu alafu nambie jina lako ” aliongea Alvan…msichana alimtaza Alvan kwa macho makali jambo lililomfanya Alvan agundue yule msichana ni mpenda shali” wambie shanie”binti alitaja jina bac Alvan alitoa taarifa kwa ndugu Wa shanie na wakaahidi kufika haraka .” ndugu zako Wa nakuja mi naweza kuondoka funguo za gari izo apo cku nyingine kua mwangalifu njian alafu ondoa hofu ,byeee” Alvan aliaga uku akitoka”hey sorry jina lako ckujui “shanie alitaka kujua jina….Alvan alimtazama shanie kisha akajibu” alvan ” baada ya hapo aliondoka …..usiku huohuo Alvan akiwa nyumban kwake anaonekana ana mawazo tayari anahisi kumpenda msichana shanie na ndio Mara ya kwanza amemwona .,ni changamoto kwake, je ata chukua hatua gani usikose sehemu ya2

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login