MAZINGIRA

Hali Ya Hatari Yatahadhalishwa Irma

on

Gavana wa Florida ametangaza hali ya hatari baada ya kimbunga Irma kuonekana kujiimarisha zaidi.

Irma kinaonekana kuelekea pande za Mashariki mwa visiwa vya Caribbean na kinatarajiwa kuingia Florida siku ya Jumatano.

Kinatarajiwa kupiga sehemu kadhaa za visiwa vya Caribbean vikiwemo Leewards, Haiti na kisiwa cha Marekani cha Puerto Rico, kabla ya kuelekea Florida.

Wakazi wa Puerto Rico wakiondoa baadhi ya vitu muhimu kupisha kimbunga Irma

Gavana Scott Fox anataka kuwapa mamlaka za mji wake muda wa kutosha kujiandaa kabla ya kimbunga hicho.Hivi karibuni kimbunga kikali cha Hurricane Harvey kilipiga majimbo ya Texas na Louisiana huku  kikiacha madhara mengi sana.

ADD YOUR COMMENTS

115 Comments

  1. Pingback: Ugg Outlet Online Store

  2. Pingback: parajumpers down jacket

  3. Pingback: patagonia jackets sale

  4. Pingback: adidas yeezy boost

  5. Pingback: fjallraven jackets store

You must be logged in to post a comment Login