HADITHI::My Jealous Destroyed Everything…….. Sehemu ya2 - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

HADITHI

HADITHI::My Jealous Destroyed Everything…….. Sehemu ya2

on

sehemu ya2…..siku chache baada ya Alvan kukutana na shanie alikua mtu Wa mawazo akifikiria siku 1 anaweza kumpata au laa basi akiwa ofisini Mara anatalia anaingia ofisini kwa Alvan”you look so upset ,what is with you?”….”nothing”Alvan alijibu uku Akijidai yuko bize”sasa Alvan ukinificha ata mimi mambo yako inakuaje?au sikuizi tuna create gap rafiki angu” Anna alikazia ..Alvan aliinua kichwa na kumtazama anatalia” si ukae sasa” Alvan alijibu .”nitakaa tu pindi ukinipromise kunambia”….”si ukae sasa vipi rafiki angu aaaah”Alvan akajibu .basi anatalia alikaa na kutupa macho kwa Alvan” nipe ushauri,kuna mtu nampenda yani nimeanguka mazima “…

” nani tena?”ana alikua na shauku ya kujua “anaitwa shanie ,we met that day I called you” anatalia alivuta pumzi kidogo…” Unamfahamu vizur lakin?”……” Nooo I know nothing about her but kwa muda wote nilokua nae hospital nilihisi nampenda ila anaonekana mkorofi but nimeridhia”alvan alizidi kujieleza ….”mmmh na huo upole sasa, anyway sikiliza moyo wako kama unampenda ongea nae but take care sometime love hurts na hii ni Mara yako ya kwanza just take care Alvan mi jicho langu lipo kwako ukiumia wewe nimeumia mimi “anatalia aliongea kwa uchungu…….” Anna nashukuru kwa support yako mi nakupenda sana ndio mana siachi kukushirikisha kitu changu ,nakuahidi kua makini kwa hili”..basi anatalia alifurahi kusikia Maneno ya rafiki yake kipenzi …..BAADA YA WIKI KADHAA ……ilikua siku ya jmosi majira ya saa12 jioni Alvan alikua kwenye mizunguko yake mjini ,basi akaamua kuingia duka la nguo Mara anapiga hatua anasikia saut ikiita Alvan Mara anageuka anaonana na shanie ” umenikumbuka?”shanie aliuliza uku akimpa mkono “how can I forget you?waendeleaje?” Alvan aliuliza uku akitabasamu “extremely fine,mama angu alitamani angekukuta sikuile ,hivi unaishi wapi vile au sehemu yako ya kazi”…..” Mi naishi azimio3 ila Niko apa halmashauri afisa maendeleo ya jamii”alijibu Alvan “datz great Alvan ,mi nasomea udaktar Niko mwaka wa3 “……” Wooooow young ambitious doctor,all the best….but sorry naeza kupata namba zako?” Alvan ilibidi aombe ,shanie hakusita alimpatia namba kisha wakaagana kila mmoja akawa bize na mambo yake…lakin kwa undani Wa familia ya shanie huyu ni binti kutoka familia ya kitajiri wamezaliwa yeye na kaka yake tu (Eassy) na wanaishi na mama yao  ..BAADA YA SIKU 1 Alvan alimpigia simu shanie na kumweleza juu ya upendo wake kwake kwa wakati huo shanie hakuwa na sababu ya kumkataa kijana mtanashati,handsome na msomi licha ya hayo shanie hakuwa na mpenzi hivyo aliona huo ndio wakati sahihi kwake ,basi Alvan alifurahi kupokea jibu la shanie kua nae anampenda lakini ni changamoto kwao kwakua hakuna anayemfahamu mwenzie vizuri  na ndio kwanza wote Wa naingia kwenye mapenz kwa Mara ya1 je wataweza kuchukuliana madhaifu yao ?usikose sehemu ya 3 ……….imeandaliwa na Salome nathan

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login