MAZINGIRA

Mtu Mmoja Amefariki Katika Mji Mkuu wa Chile Kutokana Na Kutanda Kwa Barafu(theruji) Kubwa

on

Mtu mmoja ameripotiwa kufariki baada ya barafu(theruji) isiyo ya kawaida kukumba mji mkuu wa Santiago nchini Chile .Nyumba 250, 000 zilibaki giza baada ya theluji hiyo kusababisha umeme kukatika .

Mtu mmoja aliyekuwa anaondoa theluji hiyo nzito alifariki na wengine wawili kujeruhiwa baada ya nyaya za umeme kuwaangukia .

Siku ya jumamosi mwisho wa wiki iliyopita maelfu ya wakazi waliamka na kukuta barafu iliyotanda katika maeneo mbalimbali ya mji wao hata hivyo kutokana na kuzuka kwa barafu(theruji) hiyo kulisababisha kukatika kwa umeme katika siku ya jumamosi na jumapili.

Ofisi ya nchini Chile ilisema kuwa hii ni barafu(theruji) kubwa katika mji mkuu ambayo haikuwahi kutokea kwa kipindi cha takribani miaka 46.

ADD YOUR COMMENTS

237 Comments

 1. tarazzan.com

  December 14, 2017 at 1:48 am

  Today, I went to the beach front with my kids. I found a sea shell and gave it to my 4 year old daughter and said “You can hear the ocean if you put this to your ear.” She put the shell to her ear and screamed.
  There was a hermit crab inside and it pinched her ear. She never wants to go back!
  LoL I know this is totally off topic but I had to tell someone!

 2. wireless spy cam

  November 3, 2017 at 9:30 pm

  It’s in point of fact a nice and useful piece of info.
  I’m glad that you shared this helpful information with
  us. Please keep us informed like this. Thank you for sharing.

You must be logged in to post a comment Login