KITAIFA

LIST:Awamu Ya Pili Ya Majina Ya Wanafunzi Walioteuliwa Kujiunga Na JKT Kwa Mujibu 2017

on

Jeshi la Jkt leo hii limeto majina ya wanafunzi wanaotakiwa kuwasili kwanya kambi kwanzia tarehehe 13 juni 2017 ;

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), linapenda kuutaarifu umma kuwa limeongeza majina ya vijana waliohitimu elimu ya kidato cha sita mwezi Mei 2017 kujiunga na mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria.

Vijana hao wanatakiwa kuripoti kwenye makambi ya JKT waliyopangiwa kuanzia tarehe 13 Juni 2017 hadi tarehe 20 Juni 2017.

Mkuu wa JKT, kwa mara nyingine tena, anawakaribisha vijana wote waliochaguliwa ili waweze kujiunga na vijana wenzao katika kujifunza uzalendo, umoja wa kitaifa, stadi za kazi, stadi za maisha na utayari wa kulijenga na kulitumikia Taifa letu.

Orodha kamili ya majina ya vijana hao walioongezwa, maeneo ya makambi ya JKT waliyopangiwa na vifaa wanavyotakiwa kwenda navyo inapatikana katika Blog ya robengo16 ambayo ni robengo16.com . Usomapo tangazo hili mtaarifu na mwenzio.

Hii hapa chini ni orodha ya wale wote waliochaguliwa baada ya kutochaguliwa katika awamu ya kwanza

ADD YOUR COMMENTS

472 Comments

  1. Wedding Electroplating Glass Plates

    September 21, 2017 at 6:31 am

    LIST:Awamu Ya Pili Ya Majina Ya Wanafunzi Walioteuliwa Kujiunga Na JKT Kwa Mujibu 2017 – robengo16.com

  2. Ula

    September 21, 2017 at 4:05 am

    Good – I should certainly pronounce, impressed with your web site. I had no trouble navigating through all tabs as well as related info ended up being truly easy to do to access. I recently found what I hoped for before you know it in the least. Quite unusual. Is likely to appreciate it for those who add forums or anything, web site theme . a tones way for your customer to communicate. Nice task..

You must be logged in to post a comment Login