BannerFans.com

HADITHI

Hadithi:Penzi La Mpangaji Sehemu Ya #18

on

PENZI LA MPANGAJI
“Mama weeee,huyu mtoto mbona anataka kuniletea kesi isiyo na maana?Hivi anataka kupaka mafuta kweli au anataka kunivuta nimtoboe”.Nilijiwazia kichwani baada ya kumuona kaingia chumbani.
“Sasa leo ni lazima alie.Maana kishaniona mimi bwege sana huyu,yeye wa kuniijia na kikanga mimi?”.Nilizidi kuwaza huku nikiona kama kanishusha kwa alichokifanya.
Baada ya dakika kama kumi alitoka na kuanza kuniaga.
“Asante Prince,nishapaka”.
“Ok!Poa basi”.Nilimwambia kisha akakamata kitasa cha mlango wangu kwa ajili ya kuufungua.
“Stela”.Nilimuita.
“Abee”.Akaitika na kugeuka mzima mzima.
“Hiyo ni nini?”.Nilimuuliza huku namuoneshea kwa kidole sehemu zake za nyuma.
“Kwani kuna nini?”.Huku akiangalia pembeni kama anatafuta kitu.
“We uoni?Au?”.Nikamuuliza
“Sioni,kwani kuna nini?”.Alijibu huku akionesha kweli afahamu.
“Hicho ulichobeba nyuma chini ya mgongo wako”.
“Halafu wewe,mi sijui nilidhani nini”.Huku bado kasimama kunilekea mimi.
“Geuka basi nione tena”.
“Kwani na nini cha ajabu?”.Huku ana tabasamu
“We geuka tu! Hiyo ndiyo fahari ya macho yangu kwako,sema hujui”.Huku anakula kucha wakati huo huo anatabasamu,aligeuka na kunipa mgongo hivyo kunifanya nione tena ule mzigo alioubeba.
“Nikwambie kitu?”.Nilimuuliza wakati huo bado nilikuwa nimekaa kwenye kochi moja dogo,nikiwa mbali naye kama mita kumi hivi.
“Sema tu!”.Akanipa rungu Prince mie.
“Ipandishe hiyo kanga juu kidogo hadi na paja zako zionekane, kidogo tu!”. Acha kabisa. Nasema nyie acheni kabisa,mngeona nadhani sasa hivi mngekuwa mshabaka zamani hasa nyie wanaume. Ila kwa Prince wala sikuwa na wasi,mi mjanja lakini bwege tu!.
Alipandisha ile kanga hadi ile sehemu kubwa ya mapaja yake ikaonekana.Hapo uchu ukanipanda lakini nikavumilia na kuomba kitu kingine.
“Stela,niombe ombi la mwisho?”.
“Omba tu!”.Naomba nikushike. Hapo akaa kimya,na kwa sisi wazungu tunaamini kuwa “SILENCE MEANS YES”. Basi nikanyanyuka na kumfuata pale alipo na kushika kalio lake moja na kulirusha kwa juu. Nalo likakubali kurushika.Lilivyotua chini likawa linatikisika kama kitambi cha mtu anayekimbia riadha.

ADD YOUR COMMENTS

314 Comments

 1. http://www.5tww.com

  September 21, 2017 at 5:38 am

  Peculiar article, exactly what I needed.

 2. Colby

  September 21, 2017 at 4:13 am

  Thanks for any other wonderful article. Where else could anybody get that type of info in such a perfect way of writing? I’ve a presentation next week, and I am at the search for such info.

 3. Clare Walters – Absolute Specialists

  September 21, 2017 at 3:09 am

  You made some decent points there. I looked on the internet for the issue and found most individuals will go along with with your website.

 4. NMD Human Race

  September 21, 2017 at 1:23 am

  It is truly a great and useful piece of info. I’m satisfied that you simply shared this helpful info with us. Please stay us up to date like this. Thank you for sharing.
  NMD Human Race

You must be logged in to post a comment Login