BannerFans.com

HADITHI

Hadithi: Soma Hapa Hadithi Ya Patna Sehemu Ya 5

on

Victor akalala na kusubiri kwa hamu hiyo wiki ipite huyo Sasha aje huku wakati huo akiambulia kuangalia tu jinsi magari yakifahari yakiingia na kutoka kwenye jumba hilo. Huku siku nyingine akisikia watu wakiongea kwa mashauzi humo ndani lakini hakusikia sauti ngeni yoyote ya msichana. Kwa sababu alikuwa makini kusikiliza kama Sasha amerudi au lah.

Siku moja Victor akiwa katika mihangaiko yake, akirudi nyumbani kwa mara ya kwanza alishangaa kuona mlango wa lile jumba unafunguka halafu akatoka kijana kama yeye tofauti ni kwamba kijana huyo alionekana nadhifu mno kuanzia mavazi na muonekano.

Haraka Victor akatambua kuwa huenda huyo ndiye waliyemuita Kelvin, akamtazama kwa muda na kumpita.

“oy bro niaje!” Kelvin alimuanza Victor.

“Poa vipi?” alijibu Victor akishangaa kuitwa na Kelvin.

“ebwana mimi mgeni kidogo hapa mtaani, wewe si unakaa nyumba hiyo hapo?”

“ndiyo, umejuaje?”

“aah nikikaa kule juu (akimaanisha ghorofani kwao) nakuonaga unaingia na kutoka si una dada ako mmoja mzurimzuri hivi!”

“kwa hiyo!” alianza kuwaka Victor baada ya Suzan kuzungumziwa.

“hapana sio kwa ubaya.. sometimes unaweza kuja home tukachill au tukatembeleana, ukanitembeza kitaani.. tukacheki madem, viwanja yaani kama hivyo au kuna tatizo?”

“hamna tatizo,” alijibu Victor.

“sasa hivi vipi una ratiba yoyote?” aliuliza Kelvin.

“hamna, sema nimechoka kinoma kutembea, nimetoka kariakoo.”

“ah usijali nachukua gari,” alisema Kelvin, Victor akashangaa kusikia mwenzake ana gari, lakini akaficha hisia zake.

“poa haina noma ukitoka nipigie tu honi naingia kumcheki maza kwanza,” alisema Victor na kuingia kwa mama yake akistaajabu utajiri wa majirani zake. “mimi sina hata baiskeli mwenzangu ana gari? Duh maisha siyo fair kabisa..”

ADD YOUR COMMENTS

274 Comments

 1. phones allow

  November 3, 2017 at 8:45 pm

  you are truly a excellent webmaster. The website loading pace
  is amazing. It kind of feels that you are doing any distinctive trick.
  Moreover, The contents are masterpiece. you have done a fantastic job on this topic!

 2. Cheap NHL Jerseys Free Shipping

  September 21, 2017 at 6:43 am

  This is something I punched the button at the wrong time.”Henry characterized the Red Sox as a “strong teamthey just have not played up to their capabilities. You can make the use of these tools to bring your required features in cameras.Create your own web siteWhen online workers open their own webpage, they have the opportunity to take control over their future. You will see the possible photo in the LCD screen with ease.

 3. FelipeSTEVE

  September 21, 2017 at 5:47 am

  mexican pharmacy online medications
  canadian drugs
  canadian prescriptions
  generic sildenafil
  pharmacy price compare
  cialis without a doctor prescription

You must be logged in to post a comment Login