Hadithi: Soma Hapa Hadithi Ya Patna Sehemu Ya 4 - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

HADITHI

Hadithi: Soma Hapa Hadithi Ya Patna Sehemu Ya 4

on

PATNA 04

“Mh huku uswahilini kweli! Yaani tumeingia tu kila mtu ametoka nje kutuangalia? Mume wangu utagombana tu na mwanao Sasha,” ilisikika sauti ya mwanamke ikiwa karibu kabisa na dirisha la Victor.

Victor alisogea dirishani kwake na kumuona mwanamke huyo kwenye ghorofa ya juu akitazama kwa nje kama vile anakagua mandhari ya eneo walilopo.

“Sasha atapazoea tu! hivi ni lini wanafunga chuo?” aliongea mwanaume.

“wiki ijayo; Hivi mume wangu ulishindwa kununua na hiki kijumba,  Kelvin apate sehemu ya kuchezea basketi!” alisema yule mwanamke akionesha nyumba aliyomo Victor.

“kuna swimming pool ataogelea, hayo mengine tutayafanya taratibu. Halafu acha kumdekeza Kelvin kama mtoto mdogo wakati ni mtu mzima kabisa,” alisema yule mwanaume aliyeonekana kuwa ni baba na yule mwanamke mjeuri ni mama.

“hawa watu wanajionaje?” aliwaza kimoyomoyo Victor baada ya kuona ni kinyume na matarajio yake. Kwa kuwa siku zote alitamani kuona wanaohamia katika nyumba hiyo ni watu wastaarabu mno, lakini kwa kauli ya yule mama alijua fika kuwa watu waliohamia hapo ni matajiri na wenye majivuno.

Hata hivyo Victor ndani ya nyumba hiyo aling’amua uwepo wa mtoto wa kiume anayeitwa Kelvin na wa kike aliyeitwa Sasha ambaye atakuja likizo kutoka chuo wiki ijayo.

Shauku ya Victor ikawa ni kuwaona watu hao. hasa Sasha. Je alikuwa mzuri kama nyumba yao au?

ADD YOUR COMMENTS

274 Comments

 1. home alarm system

  November 3, 2017 at 9:27 pm

  Wow, fantastic blog layout! How long have you been blogging for?

  you made blogging look easy. The overall look of your website is magnificent, let alone the content!

  • Robert Ngonya

   November 11, 2017 at 9:39 pm

   I`m blogging for two years

 2. November 3, 2017 at 4:36 am

  This is really іnteresting, Үou’re a very
  skiⅼleɗ blogger. I have joined yߋur rss feed and look forward to seeking more of your great рost.

  Also, I’ve shared your web site in my sociaⅼ networks!

 3. Lélio Vieira Carneiro Junio

  November 2, 2017 at 12:18 pm

  Hi there, I enjoy reading all of your article. I wanted to write a
  little comment to support you.

You must be logged in to post a comment Login