HADITHI

Hadithi: Soma Hapa Hadithi Ya Patna Sehemu Ya 7

on

PATNA 07
“Naitwa Victor, sijui unaitwa nani?” alianza Victor.
“Mimi naitwa Vicky.” Alijibu yule mdada haraka Victor akatambua kuwa ni muongo.
“sikia Vicky, nina rafiki yangu ana hela vibaya mno, halafu alipokuona tu ametokea kukupenda. Hapa amenituma nikuite.”
“mh .. yupo wapi?” aliuliza huyo aliyejiita Vicky na kujitengeneza wigi lake vizuri kisha akageuka nyuma kwa mapozi.
“Yule aliyeegemea gari”
“ndiyo yule!?” aliuliza.
“Yah, na ile ni gari yake. Sasa nataka usiharibu ukifika wewe unakuwa kitayaritayari.. hana matatizo yule.” Alisema Victor.
“poa, mwambie kabisa mimi nataka 50 yangu mapemaaa.” Alisema Vicky basi Victor akageuka na kumuoneshea ishara Kelvin kuwa aje.
“Oy Kelvin, huyu anaitwa Vicky..ongea naye basi kidogo mimi ngoja niende toileti mara moja.” Alisema Victor na kujitoa.
Kelvin akajiumauma na wakati Victor anarudi kutoka chooni, wakapanda gari na kuelekea Masai Club, wakanywa na kula nyama choma. Victor akiwa makini kunywa maji na soda tu, wakati mwenzake akikata kilevi kikali baadaye wakaingia na yule msichana kwenye gesti ya pembeni yake (jina kapuni) baada ya masaa mawili, Kelvin akatoka na safari ya kuelekea nyumbani ikaanza.
Tayari wakati huo ilikuwa saa sita usiku, Victor alijua mama yake atakuwa na wasiwasi mno, lakini mwenzake Kelvin alionekana kuzoea maisha hayo, walirudi na kila mtu akaingia kwake.
Tangu siku hiyo urafiki huo ukaendelea hivyo na mara nyingine Kelvin akawa anaingia na kutoka kwa akina Victor halikadhalika Victor naye. Kwa muda mfupi hadi wazazi wao pia wakawazoea.
Hata Suzy naye alikuwa amezoeana na Kelvin kiasi kwamba ukaribu wao ulimtia mashaka Victor.

ADD YOUR COMMENTS

220 Comments

 1. sand asbestos

  November 3, 2017 at 8:58 pm

  Great blog here! Also your website loads up very fast!
  What web host are you the usage of? Can I am getting
  your affiliate hyperlink to your host? I wish my site
  loaded up as quickly as yours lol

 2. traveling wilburys

  September 20, 2017 at 7:19 pm

  Very shortly this web site will be famous among all blog users, due to it’s good
  articles or reviews

 3. macau tourism keep

  September 20, 2017 at 5:30 pm

  What’s up Dear, are you really visiting this web page regularly, if so after that you
  will definitely take pleasant know-how.

 4. nike air huarache

  September 20, 2017 at 4:35 pm

  Rattling great information can be found on website . “I believe in nothing, everything is sacred. I believe in everything, nothing is sacred.” by Tom Robbins.
  nike air huarache http://www.nikehuarache.us.com

 5. route travel tips

  September 20, 2017 at 3:36 pm

  I was wondering if you ever thought of changing the structure of
  your website? Its very well written; I love what youve got
  to say. But maybe you could a little more in the way of content so people could connect with it better.

  Youve got an awful lot of text for only having one or 2 images.
  Maybe you could space it out better?