HADITHI

Hadithi:Penzi La Mpangaji Sehemu Ya #19

on

PENZI LA MPANGAJI
Alikuwa katulia wakati nafanya hivyo. Nikazidi kuonesha ujanja wangu. Nikakishika kiuno chake kwa nyuma,na kuanza kuupeleka mdomo wangu shingoni kwake.
Stela alikuwa ana kiuno laini sana,yaani kama kifaranga cha kuku jinsi alivyokuwa laini.
Nilipoanza kuupeleka mdomo wangu kwenye shingo yake,nikaanza pia kuamisha mikono yangu kwa kuipeleka kifuani pake ambapo nilikutana na vichuguu viwili vigumu gumu kiasi. Nikawa naviminya vile vichuguu kwa mikono yangu miwili hadi pale niliporidhika.
Ule mdomo wangu ukawa tayari umeyakaribia maeneo ya shingoni. Kabla sijaanza kuigusa ile shingo,nilianza kwa kuipumulia kwa pua yangu kitu kilichofanya aanze kuipinda pinda shingo yake na baadae alipoona anaweza kupiga kelele au kuumbuka,alichomoka mikononi mwangu na kufungua mlango na kutoka nje ya chumba changu.
“Ishi! Sasa huyu mtoto anaenda wapi sasa? Hajui tayari mwenzake nishakufa hapa.Asije akasababisha nianze kupiga masta!!,ha ha haa,hiyo kitu haitokei”.Nilijikuta naongea peke yangu baada ya Stela kuondoka.
“Au atakuwa kamaindi nini? Lakini mbona alikuwa haleti fujo wakati naangaika na mwili wake?”. Maswali yakizidi kumiminika kichwani.
“Aaah! Bwana eeh,atajua mwenyewe. Hata akimaindi,mimi sijali. Kwanza mimi ndiyo baba mwenye nyumba”.Nilikata shauri huku bado nikiwa palepale nilipokuwa nimesimama mara ya mwisho na Stela.
“Mh! Ila mtoto ana chuchu ngumu kudadeki.Dah! yaani kama kibuyu au kiboga kilichoanza kuota”.Nilijikuta nasifia huku natoa tabasamu.
“Sasa pale kiunoni,dah! Nilihisi kama nashika unga wa ngano. Ila lile tako,ha ha haaaa kama nyanya masalu”. Nilijikuta najisemea peke yangu kwa dakika kama tano huku nacheka kilichotokea muda mchache uliyopita.
Baada ya kuridhika na ile hali ya kuwa kichaa kwa kucheka cheka,niliamua kugeuka na kuanza kurudi pale nilipokuwa mwanzo. Lakini kabla hata sijapiga hatua moja kwenda kwenye lile kochi,nilisikia mlango unafunguliwa bila hata hodi. Nilipogeuka alikuwa ni Stela akiwa kavaa vile vile kanga yake,lakini safari hii aliingia na nguo kazishika mkononi.
“Prince naomba ninyooshe nguo zangu na kupulizia ile pafyumu yako ya Romance”.Alianza kuongea baada ya kuingia.

ADD YOUR COMMENTS

207 Comments

 1. free home security s

  November 3, 2017 at 6:51 pm

  You really make it appear so easy along with your presentation however I
  to find this topic to be actually something that I feel I might by no
  means understand. It seems too complicated and very large for
  me. I am looking ahead to your next submit, I will
  attempt to get the grasp of it!

 2. narkologiya.kz

  September 21, 2017 at 9:35 am

  An outstanding share! I have just forwarded this onto a friend who has
  been doing a little homework on this. And he actually ordered me dinner due
  to the fact that I stumbled upon it for him… lol.
  So let me reword this…. Thanks for the meal!!
  But yeah, thanx for spending time to discuss this
  matter here on your site.