BannerFans.com

ELIMU

UTAFITI:Unywaji Wa Pombe Kwa Wanawake Hupelekea Kupata Saratani Ya Matiti

on

Unywaji wa pombe miongoni mwa wanawake na ongezeko la kupata na saratani ya matiti ,Utafiti mpya unaonyesha uhusiano kati ya unywaji wa pombe miongoni mwa wanawake na ongezeko la kupata na saratani ya matiti.

Kwa mujibu wa ripoti kutoka na mfuko wa utafiti wa saratani ni kuwa nusu glasi ya mvinyo au bia kwa siku inaongeza uwezekano wa kupata saratani ya matiti. Pia utafiti unaonyesha kuwa mazoezi ya mara kw mara yanaweza kupunguza hatari ya kupata maradhi hayo.

Saratani ya matiti ndiyo huwakumba zaidi wanawake nchini Uingereza huku mmoja kati ya wanawake wanane wakipatwa na ugonjwa huo katika maisha yao.

Lakini wanasayasni wanasema kuwa hawawezi kueleza ni kwa nini watu wengine hupatwa na saratani na wengine hawapati.Lakini wanasayasni wanasema kuwa hawawezi kueleza ni kwa nini watu wengine hupatwa na saratani na wengine hawapati.Kuna sababu kadha ambazo zastahili kuangaliwa ikiwemo mtindo wa kuishi, viwango vya homoni na masuala mengine ya kiafya. Kwanza kuna masuala kadha ambayo mtu hawezi kuyadhibiti kama vile jinsia, umri , kimo na mengineyo.

Pia utafiti unaonyesha kuwa mazoezi ya mara kwa mara yanaweza kupunguza hatari ya kupata maradhi hayo.Kuwa mwanamke aliye na zaidi ya miaka 50 na aliye na historia ya ugonjwa wa saratani katika familia, inaongeza uwezekano wa kupata ugonjwa huo. Kuwa na kimo kiferu na kuanza kupata hedhi kabla ya umri wa miaka 12 pia huongeza hatari.Taasisi ya utafiti wa saratani nchini Uingereza inasema kuwa kuna masuala ambayo yanaweza kuchangia ugonjwa wa saratani kwa kiwango fulani na pombe ni moja yao

ADD YOUR COMMENTS

197 Comments

 1. http://techsnews.ru/user/TwylaFoley84702/

  September 20, 2017 at 9:40 pm

  This site definitely has all the information and facts
  I needed about this subject and didn’t know who to ask.

 2. http://healthcare.randstadusa.com/

  September 19, 2017 at 1:41 pm

  Fantastic blog! Do you have any helpful hints for aspiring writers?
  I’m planning to start my own blog soon but I’m a little lost on everything.
  Would you propose starting with a free platform like WordPress or go for
  a paid option? There are so many options out there
  that I’m completely confused .. Any recommendations?

  Kudos!

 3. jordan soccer

  September 19, 2017 at 9:39 am

  I like the helpful information you provide in your articles.
  I’ll bookmark your blog and check again here regularly.

  I’m quite certain I will learn lots of new stuff right
  here! Good luck for the next!

 4. Lelio Vieira Carneiro Junior

  September 18, 2017 at 10:55 am

  Hi just wanted to give you a brief heads up and let you know a few of the pictures aren’t loading correctly.
  I’m not sure why but I think its a linking issue. I’ve tried it in two
  different browsers and both show the same results.

 5. adare golf course

  September 17, 2017 at 3:07 pm

  It’s really a cool and helpful piece of info. I’m happy that you simply shared this useful information with us.
  Please stay us up to date like this. Thank you for sharing.

You must be logged in to post a comment Login