PICHA5:Za Kuapishwa Kwa Kamanda Sirro Ikulu Leo Hii - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

SHEREHE

PICHA5:Za Kuapishwa Kwa Kamanda Sirro Ikulu Leo Hii

on

Rais John Magufuli amemuapisha mkuu mpya wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro aliyeteuliwa jana kuchukua nafasi ya Ernest Mangu.
Hafla hiyo imehudhuliwa na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Waziri wa Mambo ya Ndani , Mwigulu Nchemba na makamishna mbalimbali wa jeshi hilo.
Sirro baada ya kuapishwa amekula kiapo cha maadili mbele ya Rais Magufuli kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake mapya.

ADD YOUR COMMENTS

241 Comments

  1. gratis brazil dating

    September 21, 2017 at 4:28 am

    Hey! Would you mind if I share your blog with my facebook group?
    There’s a lot of people that I think would really appreciate your content.
    Please let me know. Thanks

You must be logged in to post a comment Login