HADITHI

Lomeo Lukaku Aungana Na Wachezaji Wa Chelsea Kushangilia Ubingwa

on

Katika mtandao wa Instagram Mchezaji na golikipa wa chelsea Thibaut Courtois mara baada ya mechi kumalizika walipokuwa katika vyumba vya kubadirisha nguo alifanya Live streeming katika ukurasa wake wa instagram ndipo ambapo alionekana mchezaji wa Evarton Lomeo Lukaku.

Lukaku alitoa maoni ‘Aaah michy’ juu ya picha ya golikipa wa Chelsea Courtois na winger Pedro katika wageni vyumba vya kubadilishia.Pia alionyesha emoj ya kicheko katika video hiyo.

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login