SHEREHE

Rex Tillerson Agoma Mwaliko Wa Hafla Maalum Ya Ufunguzi Wa Mwezi Wa Ramadhan

on

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson akataa ombi la kuwa mwenyeji wa hafla maalum inayoashiria kuanza mwezi wa Ramadhan katika dini ya kiislamu.

Kwa muda wa takriban miaka 20 wizara ya mambo ya nje ya Marekani kutoka kitengo cha ofisi ya masuala ya dini na ya kigeni huandaa hafla maalum ya kuanza mwezi  waislamu wa Ramadhan kwa kuandaa mlo wa kufungua mfungo al maarufu kama Futari .

Hafla hiyo tangu mwaka 1999 mawaziri wa mambo ya nje wa Marekani kutoka pande zote mbili za Republican na Democrats wamekuwa wenyeji wa hafla hiyo ya Ramadhan .

ADD YOUR COMMENTS

516 Comments

  1. Dorie

    September 21, 2017 at 7:34 am

    If you would like to take a good deal from this paragraph then you have to apply
    such methods to your won weblog.