SHEREHE

LIVE:YALIYOJIRI MOJA KWA MOJA KUTOKA MOSHI KATIKA SHEREHE ZA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

on

 

Leo ni maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani, ambapo Tanzania inaunga na nchi nyingine duniani kuadhimisha na Kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika katika viwanja vya Ushirika Moshi, mkoani Kilimanjaro na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ndiye mgeni rasmi katika maadhimisho hayo akiwa ameambatana na Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine wa Kitaifa.


:BONYEZA HAPA CHINI KUTAZAMA MATUKIO NA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI:

ADD YOUR COMMENTS