BIASHARA

ZAO LA COCOA LAONGEZEKA KWA UZALISHAJI NCHINI COLOMBIA…SERIKALI YAPANGA KUTETEKETEZA MASHAMBA YALIYOGUNDULIKA

on

Moja ya shamba kubwa lililogundulika na serikali hivi karibuni
Serikali ya Marekani imesema uzalishaji wa zao la coca inayotengeneza cocaine umevuka mipaka nchini Colombia.Ripoti zinasema kuwa maeneo ya uzalishaji yameongezeka mara mbili ya ilivyokuwa miaka mitano iliyopita ikiwa ni takriban hekta laki moja na elfu tisini.Hii inaweza kutengeneza mpaka kilo mia saba za cocaine kwa mwaka.
Kipindi cha nyuma baadhi ya mashamba haya yalimilikiwa na waasi lakini sasa wanashirikiana na serikali katika kuyateteketeza.Serikali ya Marekani inaamini kuwa kuachwa kupuliziwa kwa dawa maalumu ya kukausha zao hilo kwa njia ya helikopta imekuwa sababu ya kuongezeka kwake.Serikali ya Colombia imesema hekta elfu hamsini zitateketezwa mwaka huu na zilizobaki zitateketezwa taratibu.

ADD YOUR COMMENTS

157 Comments

  1. Itamar Serpa Fernandes

    November 3, 2017 at 6:37 am

    Excellent post. Keep posting such kind of information on your site. Im really impressed by your blog.

  2. Pingback: tercio borlenghi junior

You must be logged in to post a comment Login