KIMATAIFA

WANAO GOMBEA UKUU NCHINI UHOLANZI WAFANYA KAPENI ZAO ZA MWISHO KUELEKEA UCHAGUGUZI

on

Waziri mkuu Mark Rutte (kushoto) na mpinzani wake mkuu Geert Wilders (kulia) katika mdahalo 
 
Viongozi kutoka vyama vikuu vya siasa watakao simama katika uchaguzi mkuu wa jumatano nchini Uholanzi wanafanya kampeni zao za mwisho kwa njia ya televisheni.Wanajaribu kutafuta kura za mwisho za wale ambao pengine hawakuwa tiyari kupiga kura.
Vyama vyenye upinzani mkubwa ni kile cha mrengo wa kulia cha waziri mkuu wa sasa Mark Rutte na kinachopinga kuwepo ndani ya umoja wa ulaya na pia kupinga wahamiaji cha Geert Wilders.

ADD YOUR COMMENTS

242 Comments

  1. Pingback: Obat Kutil Kelamin Di Apotik

  2. Pingback: Harga Obat Kutil Kelamin

You must be logged in to post a comment Login