BannerFans.com

KIMATAIFA

SYRIA YAPOKEA MISAADA

on

Raia wa Syria bado wanahitaji misaada mbalimbali
Umoja wa Mataifa na Shirika la Kimataifa la Msalaba mwekundu zimesema msafara wa magari uliobeba misaada umewasili katika miji minne ya Syria iliyozingirwa.Misaada hiyo inatarajiwa kugaiwa watu elfu 60 ikiwa ni mara ya kwanza toka mwezi Desemba mwaka jana.
Shirika la Msalaba mwekundu limesema usambazaji wa misaada hiyo umefika katika maeneo ya Madaya na Zabadan, yaliyo pembezoni mwa mji wa Damascus, ambayo yalizuiwa na majeshi yanayounga mkono serikali. Pamoja na miji ya Foua na Kafraya iliyoko katika jimbo la Idlib ambayo imezingirwa na waasi.
Awali mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa Kevin Kennedy alisema hakuna hata msafara mmoja uliofanikiwa kugawa msaada huo mwezi uliopita.

ADD YOUR COMMENTS

222 Comments

  1. Pingback: north face store

  2. Pingback: birkenstock sale

You must be logged in to post a comment Login