BannerFans.com

KIMATAIFA

FEDHA ZENYE THAMANI YA DOLA 150,000 ZAGUNDULIKA KATIKA MAGUNIA MATANO NCHINI NIGERIA

on

Maafisa wa serikali nchini Nigeria wanasema magunia matano yaliyokuwa na mabunda ya noti yamegunduliwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kaduna.Pesa hizo zilipatikana katika dawati la kuhudumia wasafiri wanaoingia uwanja wa ndege kuabiri ndege.Fedha hizo, za thamani ya jumla ya dola 150,000 za Marekani, ziligunduliwa wakati wa ukaguzi wa kawaida wa mizigo uwanja wa ndege.Msemaji wa tume ya uhalifu wa kifedha nchini Nigeria Wilson Uwujaren amesema magunia hayo yalikuwa na mabunda 200 ya noti mpya, ambayo yalikuwa bado hayajafunguliwa kutoka kiwandani.Amesema uchunguzi unaendelea kubaini nani mwenye magunia hayo.

ADD YOUR COMMENTS

252 Comments

  1. Umanizzare presídios

    November 3, 2017 at 9:51 pm

    This is really interesting, You’re a very skilled blogger.
    I have joined your rss feed and look forward to seeking more
    of your wonderful post. Also, I’ve shared your web site in my social networks!

  2. Pingback: Itamar Serp

You must be logged in to post a comment Login